Daah huyu Onana ndio dolar 200k,kalegea sijui anapiga nyeto.
Both team to score kwa game za simba inanipa hela sanaKila mechi hii timu lazima iruhusu goli. [emoji38][emoji38] yani imekuwa kanuni.
Aaahaaas[emoji23][emoji23][emoji23]
Wametutangulia tu, tutasawazishaKwamba sioni au
Bado hamjasema!!Mkuu usiwadharau hivo,hawa wachezaji wetu pia kisaikolojia ile 5 inaweza ikawa imewaharibu
Duh hatari sanaTukifungwa tena tusahau ubingwa, siyo kocha peke yake wachezaji karibia wote wanafaa kufukuzwa wabaki
1.Salum kipa
2.Ngoma
3.Inonga
4.Shamalone
5.Kibu
6. Baleke.
Wengine wote timua
Tano tano...kumbuka mlishapokeawachawi fc
Madunduka
Mbumbumbu fc
Tano tano fc