FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Wakuu nimekuwa mbali kidogo na uwanja + tv
 
Yamegogwa tena msimu huu tunatangaza ubingwa tukiwa na pointi 50+ tu... kazi kwenu azam, mkikutana nayo haya makolo msiyapige nyingi ila mhakikishe pointi tatu mnaziweka kibindoni.
 
Back
Top Bottom