FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Simba imebakiza mashabiki tu. Siku mashabiki wakichoka ndio mwisho wake. Wachezaji hamna na viongozi hamna. Na mwekezaji anayelipa kila siku anapata hasara lakini haondoki.
Kwani leo si ameanzishwa mlinda mlango Ayubu mwenye thamani ya shilingi bilioni 3!! Achilia mbali mastaa kama Chama, Baleke, Onana, na wengineo wengi!! Halafu unasema wachezaji hamna!

Ukija kwa viongozi, ndiyo usiseme!! Juzi kati tu hapa mwekezaji ameunda jopo la wajumbe 21 wa kumshauri!! Tena ni jopo la watu wazito kweli kweli!!

Kwa upande wa Mwenyekiti Mangungu nako ndiyo usiseme! Mwaka wa jana alishinda kwa kishindo baada ya kumleta kutoka China, Caesar Manzoki siku uchaguzi kuwasalimia wapiga kura!!
 
Aahhaaaa


Eti Manzoki
 
Sasa hivi hapa nimekutana na Robertino anachekea chooni
 
Mnajua kuwakera..
Msiue lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…