Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini tena?Duh Jaman jaman
Mrudisheni,Yanga wabaya sana wametuchonja pila letu objektivu la babu lilikuwa linatusaidia ona sasa babu tumemfukiza tunaanzaa kujuta
Nijulishe tafadhaliTofauti ipo mkuu
Nasikia PM kaweka hela kwa timu yake ya nyumbani ishinde leoYaani Erasto Nyoni anatukazia utahisi hatujui.. Hii Dunia hii
Na kweli wengine tupo huku Mwandoya kwa Mwana Kingi walipokuja kuroga wanayanga juziRefa maliza mpira wengine tunakaa mbali. 😀
Acha tuwarudishe hapa kinguvuWenye uzi wamekimbiaaaa
Refa maliza mpira wengine tunakaa mbali. 😀
AaamenNamungo ongezeni la mwisho shabiki wenu kipenzi niwahi home, nimeacha maharage jikoni nitaunguza jamani.....nawasubiria nyie tu hapa.