FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Goooooooool Chuma cha 2 huko. Frank Domayo anaipatia Namungo bao la 2. 5imba 0 2 Namungo
 
Huyu maji mengi jinga kabisa unakosaje goli pale
 
Namungo Wapo Vizuri kuliko 5imba jaman [emoji1787][emoji1787]
 
Kwa sub hizi, matola kaiua timu, kama tukio goli ndio ya mungu mengi lakini sitarajii.

Mzamiru ni kiungo mgumu mnoo, unatoa chama ambae anaweza kuunga timu toka kwa mzamiru kwenda juu, unatia wings 2, konde boy na chilunda(ambae ni striker asilia)

Nina mashaka makubwa na uelewa wa soka wa makocha wetu.
 
Back
Top Bottom