FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Mkuu Saido na Chama hawapaswi kuendelea kutegemewa. Tunafeli sababu ya kuwakariri hawa.
Saidoo na chama hawapaswi kucheza pamoja, kwa mira wa cha na kiungo cha simba, anahitajika mnoo, tizama chama akicheza anashuka chini anaunganisha timu anazunguruka pale kati kufunika kosa la kutokuwepo namba 8 mchezeshaji.
 
Tuvute kumbukumbu kidogo tukimsubiri kocha mpya
1699540036203.jpg
 
Hizi sura za makolo zinavyoonekana hapa uwanjani sio rafiki, jamani Wananchi kuweni makini na hawa watu huko mitaani. Msiseme hamkuambiwa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]........
 
Back
Top Bottom