Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwani leo si ameanzishwa mlinda mlango Ayubu mwenye thamani ya shilingi bilioni 3!! Achilia mbali mastaa kama Chama, Baleke, Onana, na wengineo wengi!! Halafu unasema wachezaji hamna!Simba imebakiza mashabiki tu. Siku mashabiki wakichoka ndio mwisho wake. Wachezaji hamna na viongozi hamna. Na mwekezaji anayelipa kila siku anapata hasara lakini haondoki.
Ukija kwa viongozi, ndiyo usiseme!! Juzi kati tu hapa mwekezaji ameunda jopo la wajumbe 21 wa kumshauri!! Tena ni jopo la watu wazito kweli kweli!!
Kwa upande wa Mwenyekiti Mangungu nako ndiyo usiseme! Mwaka wa jana alishinda kwa kishindo baada ya kumleta kutoka China, Caesar Manzoki siku uchaguzi kuwasalimia wapiga kura!!