FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Yanga wabaya sana wametuchonja pila letu objektivu la babu lilikuwa linatusaidia ona sasa babu tumemfukuza tunaanzaa kujuta
 
Saidoo pamoja na kutusaidia sana atafutiwe mbadala. Ni mfungaji mzuri ila ni mwepesi wa kukosea na kupoteza mpira na kusababisha move ya simba kushambuliwa. Awe anaingia sub dak ya 70,80.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…