FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Hiyo mihemko mliyonayo utopolo round ya pili mtatafutana msijue mlikopotelea... mmezoea kuishi kwa kukariri.. afashali mnyama niharibu round ya kwanza kuliko ya pili...

Nguvu Moja.
Mbona kama unajifariji mkuu? Yani round ya kwanza ambayo wachezaji Wana nguvu, mnasua sua... Hiyo round ya pili wataweza? Au mtasajili timu nzima?
 
Mbona kama unajifariji mkuu? Yani round ya kwanza ambayo wachezaji Wana nguvu, mnasua sua... Hiyo round ya pili wataweza? Au mtasajili timu nzima?
Mambo ya nguvu yanatoka wapi mjomba, aliyekwambia wachezaji wa Simba watachoka round ya pili nani?

Kaeni mtulie acheni wenge
 
sasa mbona wamecheza wachezaji wanaodaiwa kuchomesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…