ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Basi rudini mkachezeNdio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi rudini mkachezeNdio
Matola. Hafai hata kulumangiaHaya Nani afukuzwee tena[emoji2772][emoji2772]
lini umefanya vzr round ya pili we kolo?Hiyo mihemko mliyonayo utopolo round ya pili mtatafutana msijue mlikopotelea... mmezoea kuishi kwa kukariri.. afashali mnyama niharibu round ya kwanza kuliko ya pili...
Nguvu Moja.
Tulia ushapoteza alama mbili kazi unayo na bado haujasemaMna wenge la kitoto sana... lihi ndio round ya kwanza mkumbuke sio mnaruka hovyo kama masai
Nyie bado wachanga sana kwenye haya mambo.. tulieni hivyo hivyo iko siku hamtaamini kitachotokeaUbingwa umesema wewe, sisi tumefurahi namungo kubana kende zenu.
Kunywa fanta baridi hapo kwa mangi mimi nitalipa :cc🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁🤣
Akikujibu nambie 🤣🤣lini umefanya vzr round ya pili we kolo?
Mbona kama unajifariji mkuu? Yani round ya kwanza ambayo wachezaji Wana nguvu, mnasua sua... Hiyo round ya pili wataweza? Au mtasajili timu nzima?Hiyo mihemko mliyonayo utopolo round ya pili mtatafutana msijue mlikopotelea... mmezoea kuishi kwa kukariri.. afashali mnyama niharibu round ya kwanza kuliko ya pili...
Nguvu Moja.
Hangaikeni kwanza na AzamHiyo mihemko mliyonayo utopolo round ya pili mtatafutana msijue mlikopotelea... mmezoea kuishi kwa kukariri.. afashali mnyama niharibu round ya kwanza kuliko ya pili...
Nguvu Moja.
Kwani miaka yote unaharibu round ya ngapi?Hiyo mihemko mliyonayo utopolo round ya pili mtatafutana msijue mlikopotelea... mmezoea kuishi kwa kukariri.. afashali mnyama niharibu round ya kwanza kuliko ya pili...
Nguvu Moja.
Bado hamjasema yan mpaka msemeeNyie bado wachanga sana kwenye haya mambo.. tulieni hivyo hivyo iko siku hamtaamini kitachotokea
Simba ni mbovu sio mbovu??Nyie bado wachanga sana kwenye haya mambo.. tulieni hivyo hivyo iko siku hamtaamini kitachotokea
Endelea kukariri chura unadhani mpira ni hesabu za darasanilini umefanya vzr round ya pili we kolo?
Mambo ya nguvu yanatoka wapi mjomba, aliyekwambia wachezaji wa Simba watachoka round ya pili nani?Mbona kama unajifariji mkuu? Yani round ya kwanza ambayo wachezaji Wana nguvu, mnasua sua... Hiyo round ya pili wataweza? Au mtasajili timu nzima?
Kweli huu ni mzoga. 😂😂
Hiyo mechi wameipeleka mpaka lini?Hangaikeni kwanza na Azam
sasa mbona wamecheza wachezaji wanaodaiwa kuchomesha?Match Day!
Simba SC Vs Namungo FC
[emoji355] 04:00pm
[emoji2522] Uhuru Stadium.
Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa.
View attachment 2808770
Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo
View attachment 2808804
Kikosi cha Namungo Kinachoanza
All the Best Simba.
#Nguvumoja#
Mchezo umeanza
10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo
20' Presha ni kubwa kwa Simba ambao wanaonena kukosa utulivu wanaposhambulia
29' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Reliants Lusajo anaipatia Namungo goli la kwanza baada ya walinzi kudhani ameotea, anamchambua kipa
34' Bado mambo ni magumu kwa Simba
MAPUMZIKO
74' Matokeo bado ni yaleyale, Simba wanafika langoni kwa Namungo lakini hakuna mafanikio
75' GOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Baleke anasawazisha goli kwa Simba akimalizia pasi ya Moses Phiri
90' Zinaongezwa dakika 4
Full Time