FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Kwani msimu uliopita, wewe na Yanga nani alikuwa kafungwa mechi nyingi?
Anayepoteza point nyingi ndiye anayeukosa ubingwa.
Lakini pia niliposema kinachoangaliwa sio mechi ulizopoteza, nilimaanisha tokea ligi imeanza mpaka hapa tulipo sasa.
Tokea ligi imeanza Simba kapoteza dhidi ya Yanga pekee na kutoa droo. Jambo linaloleta hizi porojo ni Kupoteza dhidi ya Yanga kwa goli nyingi, hii ilikuwa ni udhaifu mkubwa na umemwondoa kocha.
Yawezekana ukawa umepoteza mechi moja, lakini mwenendo wako ni tia maji tia maji. Na ndio maana hata kabla ya derby, Yanga tulikuwa tumepoteza mechi moja, huku nyie hamjapoteza, ila Cha ajabu hamkuwa na furaha
Hatukuwa na furaha na nani? Kama ni kocha hakukuwa na tatizo as long as anashinda ndo maana akapewa A.K.A PIRA OBJECTIVE. Tatizo limekuja pale aliposhindwa against mtani kwa goli 5. Mashabiki tunataka matokeo mazuri, timu ikishinda tunafurahi, ikifungwa atatafutwa wa kupewa lawama na hawezi kukosekana. As long as Simba inashinda hakuna shida. Unadhani Yanga wangefungwa au kudroo au kushinda ushindi wa kawaida tungekuwa tunaongelea hili?
 
Naona wana FC Utopolo, Vinyesi, Manyani, Vidimbwi, Vyura, Rushwa, Mihogo, Mwiko Nyuma, Nzi wa Kijani, ... wamefarijika sana, meno nje nje
 
Kabisa kiongozi, mbio zetu za kutwaa ubingwa zipo palepale.
Kibisa boss, Mambo bado, Jambo haliishi mpaka liwe limeisha. Hii ni Simba na woote hata hoho fc na wenzao wanafahamu Simba ni nn. Juzi tu tulikuwa na wageni wa kidunia wa soka hapa nchini sababu ya hilo jina Simba. Udhaifu uliopo utarekebishwa na ushindani wa msimu bado ni mbichi sana.
 
hauna team kolo!mpaka mseme msimu huu!hizi takataka kina chama, aisha,malone,mpemba inonga ndo wachukue ubingwa
 
Anayepoteza point nyingi ndiye anayeukosa ubingwa.
Hii ni kweli kabisa.
Tokea ligi imeanza Simba kapoteza dhidi ya Yanga pekee na kutoa droo. Jambo linaloleta hizi porojo ni Kupoteza dhidi ya Yanga kwa goli nyingi, hii ilikuwa ni udhaifu mkubwa na umemwondoa kocha.
Kocha mmemtoa kama mbuzi wa kafara tu, lakini tatizo halikuwa kwake.

Hatukuwa na furaha na nani? Kama ni kocha hakukuwa na tatizo as long as anashinda ndo maana akapewa A.K.A PIRA OBJECTIVE. Tatizo limekuja pale aliposhindwa against mtani kwa goli 5. Mashabiki tunataka matokeo mazuri, timu ikishinda tunafurahi, ikifungwa atatafutwa wa kupewa lawama na hawezi kukosekana. As long as Simba inashinda hakuna shida. Unadhani Yanga wangefungwa au kudroo au kushinda ushindi wa kawaida tungekuwa tunaongelea hili?

Narudia tena, Kocha ametolewa kafara tu. Shida ipo kwenye uongozi, na kwavile viongozi hawataki kunyooshewa vidole, ndio wakamtumia Kocha kujisafisha wao. Lakini hata mlete Kocha mwingine, still mtaendelea kulaumiana tu maana ajaye atarithi ugonjwa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Utopolo!!
Shibobo Master's
FB_IMG_16995471862235618.jpg
 
Back
Top Bottom