FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Yaani hadi nahisi presha mkeka ulikuwa unaenda vizuri [emoji17][emoji17][emoji17] dk za mwisho ni maumivu bora ningekuchukua hata kile kidogo
 
Matatizo yao ni juu yao wenyewe. Mara nyingi Simba wanajitakia matatizo kutokana na kuendesha timu yao kiujanja ujanja tu, badala ya kuindesha kwa akili.

Katika miaka ya hivi karibuni simba haijawahi kuwa na kocha mmoja kwa msimu wote. Kuna wakati ilienedshwa na makocha watatu tofauti wenye falsafa tofauti na eti kutegemea ushindi.
 
Teh teh te eeeh Uto relaxxxx! [emoji108][emoji28]
Bado hujasema wewe Kolowizards Kungwi kindakindaki [emoji1787]
JamiiForums609864958.jpg
 
Naona wana FC Utopolo, Vinyesi, Manyani, Vidimbwi, Vyura, Rushwa, Mihogo, Mwiko Nyuma, Nzi wa Kijani, ... wamefarijika sana, meno nje nje
Umesahau tusi gani uongeze iliupoze maumivu yanayokusibu😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom