FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Sijajua kwanini hatuna alternative. Ni as if mafanikio ya Simba lazima yatoke kwa hiyo mid field na hakuna alt plan pale wanapofeli. Kinachoogopesha ni kuwa ni wachezaji wenye umri mkubwa na wasio na msaada pale tunaposhambuliwa. Ni wazuri tukiwa tunashambulia na wapinzani wamechoka au ni wachovu.
 
yamegogwa tena msimu huu tunatangaza ubingwa tukiwa na pointi 50+ tu... kazi kwenu azam, mkikutana nayo haya makolo msiyapige nyingi ila mhakikishe pointi tatu mnaziweka kibindoni.
 
Back
Top Bottom