FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

yamegogwa tena msimu huu tunatangaza ubingwa tukiwa na pointi 50+ tu... kazi kwenu azam, mkikutana nayo haya makolo msiyapige nyingi ila mhakikishe pointi tatu mnaziweka kibindoni.
Kwanini hutamani tupigwe nyingi?
 
yamegogwa tena msimu huu tunatangaza ubingwa tukiwa na pointi 50+ tu... kazi kwenu azam, mkikutana nayo haya makolo msiyapige nyingi ila mhakikishe pointi tatu mnaziweka kibindoni.
Mechi yai na Azam lini?
 
Beki yenu ni kama tenga, washambuliaji wenye wanakimbia kama wametoka kupiga nyeto,speed hawana,hali hawana ingizeni damu changa wakina Chilunda.

Hii game labda mtembeze mtonyo ndio mnaweza shinda kwani sioni hata mipango ya magoli. Hapo ndipo mjue mlifanya ujinga kumuacha Okrah na babu Onyango.
 
Back
Top Bottom