FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Mambo ya nguvu yanatoka wapi mjomba, aliyekwambia wachezaji wa Simba watachoka round ya pili nani?

Kaeni mtulie acheni wenge
Kwani kinachowatesa sasa hivi ni kipi? Mara chama mvivu, Saidoo hakabi nk, shida nini kama sio nguvu?

Na hapo bado CL haijaanza, mtaomba po. Kadiri siku zinavyozidi kwenda, atajulikana nani mwenye wenge
 
Kalpana salimia watu
20231020_190436.jpg
 
Kwani kinachowatesa sasa hivi ni kipi? Mara chama mvivu, Saidoo hakabi nk, shida nini kama sio nguvu?

Na hapo bado CL haijaanza, mtaomba po. Kadiri siku zinavyozidi kwenda, atajulikana nani mwenye wenge
Nguvu kitu gani nani aliyekwambia Simba kuna uhaba wa msosi we chura?
 
Kwani kinachowatesa sasa hivi ni kipi? Mara chama mvivu, Saidoo hakabi nk, shida nini kama sio nguvu?

Na hapo bado CL haijaanza, mtaomba po. Kadiri siku zinavyozidi kwenda, atajulikana nani mwenye wenge
Hii CL ndio naisubiri kwa hamu sana, mkalegezwe na wale waarabu wawili mliopangiwa hili wenge mlilonalo sasa likate, af mrudi kwenye ligi na kizunguzungu round ya pili
 
Nyie bado wachanga sana kwenye haya mambo.. tulieni hivyo hivyo iko siku hamtaamini kitachotokea
Yaani Yanga leo hii mchanga kwa Simba,umezaliwa lini,Yanga anaongoza kwa ubingwa,kukufunga mechi nyingi na magoli mengi kuliko timu yoyote Dunia leo hii unasema mchana? Kweli kipigo cha goli tano kimewalevya.
 
Back
Top Bottom