FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Yanga nilimgonga 6-0 mpaka leo hajawahi kuzirudisha..

Juzi tu hapo nikamgonga 5-0 mpaka leo hajawahi kugusa hiyo rekodi..

Utopolo wachanga tu kwa mnyama taka usitake, mnasumbuliwa na wenge tu kwa sasa
Wewe kaa na records zako sisi tunataka ubingwa last season mlikua mnatafta kiatu ndio maisha mliyo chagua
 
Pole ya nini mtani wangu mzuri?? Yani hata hapo tuu nawapongeza sana....maneno yawavuruge...wanafiki wwawachonganishe hao hao...ki.uhalisia ww unadhani ni ajee??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Vinye bwana...mlitaka hata hii point moja tusipate muongee zaidi...
Haya sare hyo mkashone vijora...
 
Back
Top Bottom