FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Simba tukiwaambia hamna timu muwe mnatuelewa sio kwamba tunawaonea,kile ni kituo cha kulea wazee na sio klabu ya mpira.

Uzi tayari.
 
Pole Mtani wangu.

Mje tuwape yale majini yetu sasa. 😂😂
 
goooooooooooal..

Amekosaaa
 
Chama Cha mapinduzi Leo kipo uwanjani kweli? Tunaposemaga ni mchezaji wa mechi dhaifu dhaifu uwa tunapingwa vipi Leo kiwango Cha kwenye mechi ya jwaneng kimepotelea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…