FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Nitaendelea kusema huyu Benchikha hana tofauti na Matole afadhali na mzee wa pira objective.... Simba inamtegemea chama akiwa kwenye siku zake 😅😅🤣🤣
Waambie waache kumfananisha na PACOME.
Sema na wewe uwe na adabu, siku zake tena?
 
Nitaendelea kusema huyu Benchikha hana tofauti na Matole afadhali na mzee wa pira objective.... Simba inamtegemea chama akiwa kwenye siku zake 😅😅🤣🤣
Matusi sio mazuri mdau
 
Mijamaa ina nguvu kama nini sijui. Kama huyu Mbangula ana kifua utadhani pawa Mabula halafu mbio zake utadhani Filbert Bayi. Daah leo Simba tunalala na viatu wallah. Yote Kwa yote ni sehemu ya mchezo tugange yajayo
Mmekubari kwa hio show show ingawa ilikua kwa mbinde mmekufa kiume Si ndio?
 
Back
Top Bottom