FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Huu Uwanja wa Jamhuri hautufai.
Chamazi Mmeona Uwanja Mbovu Kulikoni Jamhuri.[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiona Timu Imekosa Kujiamini Fahamu Fika Huna Timu.

Kipindi Mnachukua Kipindi Kile Mfululizo Tulikuwa Na Makasiriko Mengi Sana Mara Figisu Mara Mnabembwa.

Kumbe Tulikuwa Na Team Mbovu.

Sasa Simba Sc Kwa Sasa Imejaa Wazee Ila Ukweli Mchungu Kumeza Mnakimbilia Viwanja.
 
20240306_182453.jpg
🤣😂
 
Haya uwanja wa jamhauri umelogwa na yanga tena?, Hameni tena uwanja kabla hatujafikia kwenye lile shono la 5G😅😅
 
Chamazi Mmeona Uwanja Mbovu Kulikoni Jamhuri.[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiona Timu Imekosa Kujiamini Fahamu Fika Huna Timu.

Kipindi Mnachukua Kipindi Kile Mfululizo Tulikuwa Na Makasiriko Mengi Sana Mara Figisu Mara Mnabembwa.

Kumbe Tulikuwa Na Team Mbovu.

Sasa Simba Sc Kwa Sasa Imejaa Wazee Ila Ukweli Mchungu Kumeza Mnakimbilia Viwanja.
Wazee wakashinda Champion League 6?
acha utani nani
 
Viporo vinachacha balaaa yalaaaaa 😅😅😅
 
Back
Top Bottom