Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Yani bila kusahau na Kagera mtani [emoji23][emoji23]Kabisa Mtani na wakishakuwahi tuu inabidi uanze kuandika maumivu mapema.
Hadi Namungo japo inatusumbuaga sana sisi.
Waambie waache kumfananisha na PACOME.Nitaendelea kusema huyu Benchikha hana tofauti na Matole afadhali na mzee wa pira objective.... Simba inamtegemea chama akiwa kwenye siku zake π π π€£π€£
Mfikishie salamu Ngungus Boy kuwa atuachie timu yetu.Haha ha π Uto mnahangaika sana
Asante kwa uchambuziManula, Beki na Straiker hakuna kitu.
Wameonekana wamechoka sana
Siku hizi hamuiti ukuta wa Yeriko mnaita beki tena?Manula, Beki na Straiker hakuna kitu.
Wameonekana wamechoka sana
Amepigwa viwiliππ€£πHuo ubao sijauelewa nilikua nimelala wamekosea kuandika au? Yaan Simba kafungwa 2 kwa 1?
Mmekubari kwa hio show show ingawa ilikua kwa mbinde mmekufa kiume Si ndio?Mijamaa ina nguvu kama nini sijui. Kama huyu Mbangula ana kifua utadhani pawa Mabula halafu mbio zake utadhani Filbert Bayi. Daah leo Simba tunalala na viatu wallah. Yote Kwa yote ni sehemu ya mchezo tugange yajayo
Wanathimbaa π¦ ππ½ββοΈ lolote baya liwakute ππ
Thanks God ππWanathimbaa π¦ ππ½ββοΈ lolote baya liwakute ππππ