FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Jwaneng ni wazuri kuliko Simba sema Simba wanamamboyao ya kipuuzi ndiyo yanayo wapa ushindi.
ukiweza kuwadhibiti wasiyafanye unawafunga vizuri tu.
Nilimaanisha watu waliodhani mchezo ule ulionyesha uimara wa Simba hawakuwa sahihi.
 
Yani bila kusahau na Kagera mtani [emoji23][emoji23]
Yah! Na hiyo Mtani.

Yaani hizi ukitaka uziweze basi uanze wewe kufunga ni mara chache sana wakuanze halafu ukomboe na kushinda.
 
C.Union wanaipiga Azam fc hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…