Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuliko ninyi ambao kwenu wenye nazo ni wawili tuWamefuzu mara ngapi kwenye michuano ya klabu bingwa, kwahiyo na ihefu nayo ni timu bora, au siyoTimu zenye uwezo mdogo hauwezi kuziona kwenye michuano ya klabu bingwa
Asante kwa kutupatia jina jipya la huyu tapeli, sasa tutamwita Fred MagimbiNi kawaida kuna mtu anabisha? Ila jamani Fred duuuh hapana mm sipendi kusema wachezaji ila kwa huyu Fred ni kama ameotesha magimbi kwny miguu yani miguu mizito mnoo...
Ila ndo mpira...
Wenye kucheka chekenii mpk mtosheke...
Kucheka kwa zamu..
Ulikuwa hujui? Jwaneng wamelalamika waliwekewa sumu kwenye chakula chao mpaka wachezaji wa5 wakawa dhofri hali! Wamepelaka mshitaka CAF!Kumbe mechi ya Jwaneng yaliroga mashenzi haya
Vipi kwani? Sisi ni wa kimataifa...Simba huwa hawakosi visa visababu vya kujikweza. Utasikia;
1. Tumeingia robo fainali mara ya 5
2. Sisi ni namba 5 kwa sasa Africa
3. Tulimfunga Horoya 7
4. Tumemfunga galaxy 6
5. Chama ni mkubwa sana kuliko...
NB:
Baada ya kuifunga galaxy juzi wakaanza kusema sass tayari Benchka ameshapata chemistry ya timu, hivyo kila timu itakayokuja ni kipigo cha goli 3 kwenda juu.
Kuna mmoja aliandika " woyoooooooh, gari limeshawaka, timu ya moto na Chama wamoto, walete walete waleteeeeee!!!"
Washenzi hao jwaneng...kwahyo na nyie mlivyotufunga mlipoenda Ihefu mkala 2 kwa 1 mlikua mmetuloga?Ulikuwa hujui? Jwaneng wamelalamika waliwekewa sumu kwenye chakula chao mpaka wachezaji wa5 wakawa dhofri hali! Wamepelaka mshitaka CAF!
Shida yenu nadhani ni klabu inayoongoza kwa :Washenzi hao jwaneng...kwahyo na nyie mlivyotufunga mlipoenda Ihefu mkala 2 kwa 1 mlikua mmetuloga?
Mshirikina anamjua mshirikina mwenzie..tuhuma ambazo Simba anapewa na nyie mlipewa tena nyie mliambiwa ni wezi kabisa..Shida yenu nadhani ni klabu inayoongoza kwa :
1. Mdomo
2. Ushirikina
3. Kununua game
Jibu ni BHao Wydad kwenye ligi yao hua hawafungwi au ni akili huna
Wote si wamecheza uwanja huo huo?!UWANJA umechangia...
Kama ninyi tu Mlivyofungwa na ihefu [emoji854][emoji854]Ila zinafungwa na prison
Oohh kwahiyo crb kwenye ligi yao ndio huwa hawafungwi, wydad ni mabingwa wazoefu wa hiyo michuano, vipi hao vibonde wenu ni mabingwa mara ngapi hukoHao Wydad kwenye ligi yao hua hawafungwi au ni akili huna