FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

View attachment 2925763

Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo.
View attachment 2926137

Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo.
View attachment 2926220


Updates
Dakika ya 45+3
Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula.

HT
Simba 0-1 Tz Prisons.

Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko.

Mzamiru Out
Saido Inn

Kibu D Out
Chasambi Inn

Freddy Out
Pa Omari Jobe Inn.

Dakika ya 62'
Goal kwa Prisons
Mbangula tena.

Dakika 90'
Goaaaaaaaaalllll
Ñgomaaa anawanyanyua mashabiki wa Simba hapa.
1-2.

Dakika za Nyongeza ni 6.

Full Time.
Simba 1 - 2 Tz Prisons.

View attachment 2926283


#nguvumoja#
Karma is a bitch
View attachment 2925763

Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo.
View attachment 2926137

Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo.
View attachment 2926220


Updates
Dakika ya 45+3
Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula.

HT
Simba 0-1 Tz Prisons.

Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko.

Mzamiru Out
Saido Inn

Kibu D Out
Chasambi Inn

Freddy Out
Pa Omari Jobe Inn.

Dakika ya 62'
Goal kwa Prisons
Mbangula tena.

Dakika 90'
Goaaaaaaaaalllll
Ñgomaaa anawanyanyua mashabiki wa Simba hapa.
1-2.

Dakika za Nyongeza ni 6.

Full Time.
Simba 1 - 2 Tz Prisons.

View attachment 2926283


#nguvumoja#
Karma is a bitch.
 
Simba huwa hawakosi visababu vya kujikweza. Utasikia;

1. Tumeingia robo fainali mara ya 5
2. Sisi ni namba 5 kwa sasa Africa
3. Tulimfunga Horoya 7
4. Tumemfunga galaxy 6
5. Chama ni mkubwa sana kuliko...

NB:
Baada ya kuifunga galaxy juzi wakaanza kusema sasa tayari Benchka ameshapata chemistry ya timu, hivyo kila timu itakayokuja ni kipigo cha goli 3 kwenda juu.

Kuna mmoja aliandika " woyoooooooh, gari limeshawaka, timu ya moto na Chama wa moto, walete walete waleteeeeee!!!"
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka tobo la Aziz Ki kwa Mohammed Hussein na hili la Mbangula kwa Manula,nikumbushe mkuu
Huyo aziz kashakula matobo kama yote..au unataka picha? Na huyo jujui jiara ya kutosha unataka picha?
Au kwa sbb sisi huwa hatuoni kama ni habari maana mpira hauna macho...
 
Back
Top Bottom