FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Jamani wewe 😃😃, unajua sikuwepo nisimulie kwanza
Huyu kaka yako aliiga tembo kunya si akapasula msamba! Ilikuwa hivi, alitangaza kuwa anamiliki jimbo moja hapa JF katika uzi huu New Couple in Town! I love you so much! Tukampongeza sana.

Lakini tukasituka wana jimbo hawakujitokeza ili wathibitishe hili suala, lakini hola. Tunafuatilia kwa karibu comments za wanajimbo lakini mpaka sasa hola. Yamwisho ni hii

Kwa maana hiyo alitunga kama walivyo jamaa zetu. Ningekuwa mimi ningebadili hata ID.
 
Sema we jamaa una roho ngumu, umeanza na tambooo "prisons wajiandae", mkapigwa kimoko ooh "tutapata tatu", mkaongezwa "sasa ndo wametuchokoza"....mmekandwa ila bado upo hapa😹😹😹 upo vizuri
Mambo vipi?
Hebu tuache kwanza mambo ya soka.

Tuje na Exclusive Interview moja kali sana hapa.

Tugusie bifu zenu kidogo na amu naona ulifanikiwa kumtoa kwenye line.

Sikumbuki bifu nyingine ila zipo.
Kipindi hicho.

Uko tayari?
 
Sema we jamaa una roho ngumu, umeanza na tambooo "prisons wajiandae", mkapigwa kimoko ooh "tutapata tatu", mkaongezwa "sasa ndo wametuchokoza"....mmekandwa ila bado upo hapa😹😹😹 upo vizuri
Sasa aiende wapi? Anaekimbia timu yake sio mshabiki...ni mshabiki hoy hoya..ukisikia kwny tabu na raha ndo hii
 
Mambo vipi?
Hebu tuache kwanza mambo ya soka.

Tuje na Exclusive Interview moja kali sana hapa.

Tugusie bifu zenu kidogo na amu naona ulifanikiwa kumtoa kwenye line.

Sikumbuki bifu nyingine ila zipo.
Kipindi hicho.

Uko tayari?
Chaaaa kila zama na mambo yake, those time tulikua vibinti na hayo yalikua ya age yetu....sisi sasa ni watu wazima hayo hayapo tena any time unaweza niona katika picha ya pamoja na amu tukinywa bia sura ako utaweka wapi mwana 5imba???
Bifu nyingine nkukumbushe au imetosha hii???
 
Basi sawa, nafurahi kusikia hivyo.
 
Katika wafungaji bora wa muda wote CAF Chama yupo, utasema hizo sio takwimu za kumfanya awe na rekodi za juu?

Kwani Chama hajawahi kuipa kombe Simba?
Mie nimekataa mfano ulioleta wa Messi na Chama.
Messi ni mtu mwenye consistency ambayo ULIMWENGUNI HAKUNA MCHEZAJI ANAIFIKIA labda Ronaldo.
Tafuta mfano utaoendana na Chama ila sio Messi.
 
Hawa MAMMBWA ilikua nguvu ya soda tu kutufunga. Leo wamefirwamba na Mtibwa Sugar.
 
Back
Top Bottom