kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,975
- 2,370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sanaKama Freddy huyo jamaa ajirekebishe sana
Hahaha hapana naona mmeanza kujisahau na kuleta habari za timu mbovu kisa kufungwaTuzungumze ya leo mkuu.
Sawa asante kwa taarifaNadhani tuliishia kuhonga waamuzi tukasahau kuhonga washambuliaji wa Prison wasitufunge, kilichotokea ni msiba!
Leo 😂🤣😁😁C.Union wanaipiga Azam fc hapa
Kwaiyo Simba kachapwaView attachment 2925763
Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo.
View attachment 2926137
Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo.
View attachment 2926220
Updates
Dakika ya 45+3
Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula.
HT
Simba 0-1 Tz Prisons.
Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko.
Mzamiru Out
Saido Inn
Kibu D Out
Chasambi Inn
Freddy Out
Pa Omari Jobe Inn.
Dakika ya 62'
Goal kwa Prisons
Mbangula tena.
Dakika 90'
Goaaaaaaaaalllll
Ñgomaaa anawanyanyua mashabiki wa Simba hapa.
1-2.
Dakika za Nyongeza ni 6.
Full Time.
Simba 1 - 2 Tz Prisons.
View attachment 2926283
#nguvumoja#
Timu ikishinda anayesifiwa ni Mo na Benchka, ikifanya vibaya MNAMLAUMU MANGUNGU.Hatumtaki Mangungu
Duh sema wapo mbele mechi 4 mie nawa zoom tuWamezawazisha
Dah kumbe kuna mechi?C.Union wanaipiga Azam fc hapa
Jamani wewe 😃😃, unajua sikuwepo nisimulie kwanzaHivi iliishaje ya financial services - Leejay49 kaka yako huyu vipi
Duuu!!!Simba kama uyoga tu leo mboga kesho sumu[emoji851][emoji851]
Simba hakuna timu pale,Wakikutana na Yanga kwa mpira huu watakula hata kumiAloo imekuwaje tena hawa samaki wa kukaanga mpaka wanatung'ata?
Kuliko ninyi ambao kwenu wenye nazo ni wawili tuHuna akili
Wamefuzu mara ngapi kwenye michuano ya klabu bingwa, kwahiyo na ihefu nayo ni timu bora, au siyoUsichokijua Prison wapo vizuri Sana sema hufatilii Tu mpira
Timu zenye uwezo mdogo hauwezi kuziona kwenye michuano ya klabu bingwaAchana na hizo imani,tusijifiche kwenye kimvuli cha uchawi kama uwezo mdogo