Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk 6Hapa wanaongeza 10 🤣😁😂😂
Muamala umeshasoma.Hii kadi waliyopata Prison ya mchongo
Hata waongeze dk 10 hawafungiRefa kapewa bahashaaa!!😛🤣
Ety dk 6 za nyongezaaa
Huyo jamaa hajui soka, achana naye.Kwa hiyo simba uwezo wake unaonekana wasipokamia? Akili za makolo bwana
Preson.Nani kala umeme,
Sio kidogo.🐸 mmefurahi
fundi asiye na ujuzi hulaumu vyombo vyakeUWANJA umechangia...
Kwa hiyo tatizo ni uwanja sio timu? Kama ni uwanja basi wana kazi.Walitumia kigezo gani kuchagua huu uwanja?
Manyaunyau fcKina nan
Na nyie makolo si mkamie kwani mmekatazwaHuyo jamaa hajui soka, achana naye.
Jwaneng Galaxy alikamia na akapigwa sita na Simba.
Kukamia mechi ni rahisi sana kukutoa mchezoni