FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Hivi huyu kocha angemuweka tu Ayoub angepungukiwa na nini, huyu Manula waachane naye tu naona kashachoka mpira, kama ndugu zetu walivomlalamikia Metacha na kumlilia Diarra ndivyo waelewe na kwetu sisi pia ni hivyo hivyo tu
 
Back
Top Bottom