Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 2,661
- 5,583
HahahahaMchawi kaamzisha uzi wa game isiyomusu
Ee Mungu saidia Simba ashinde akutane na kipigo cha Yanga
Hslafu mpwa wenu akifungwa mnaanza kutupigia makelele hapa.Wakuu,
Karibuni katika mchezo mkubwa,mchezo wa nusu fainali kombe la CRDB BANK FEDERATION CUP unaowakutanisha Vigogo wawili wa soka nchini SIMBA SC VS SINGIDA BLACK STARS katika uwanja wa TANZANITE KWARAA Mjini Babati mkoa wa Manyara
Ikumbukwe mshindi katika mchezo huu atakutana na Young Africans SC waliotangulia fainali kwa kuichabanga timu ya wapiga kwata wa JKT TANZANIA mabao mawili kwa nunge jijini Tanga wiki mbili zilizopita
Ni mchezo wenye mvuto wa aina yake kutokana na upinzani mkali unaokuwepo uwanjanga pindi timu hizi mbili zikutanapo. ikumbukwe timu hizi licha ya kukutana leo zilikutana pia siku tatu zilizopita katika mikiki ya ligi ya NBC PL na simba kupata ushindi mwembamba wa goal moja kwa nunge.
ni nani kumfuata Yanga fainali, je ni Simba au SBS?
usikubali kusimuliwa,ambatana nami ng'adu kwa ng'adu kukuletea updates za mchezo huu muhimu na mgumu kwa timu zote mbili.
Tangu lini Singida Black Stars akawa kigogo wa soka?Vigogo wawili wa soka nchini SIMBA SC VS SINGIDA BLACK STARS
Kwani mnacheza tena?Ee Mungu saidia Simba ashinde akutane na kipigo cha Yanga 🤣🤣
Kwaniaba ya mjomba wake🤣🤣😂Tangu lini Singida Black Stars akawa kigogo wa soka?
simba hata uwezo wa kujiangusha hana labda aaangushwe na refaSimba leo kujiangusha ili kumkwepa yanga
ingekuwa sio kigogo wasinge tafutwa waamuzi wa kuhakikisha mbeleko inapatikanaTangu lini Singida Black Stars akawa kigogo wa soka?
Mbona mmekuwa mkilalamika hata Simba anapocheza na KenGold mnasema amepangwa refa wa Simba, je hata KenGold nayo ni kigogo?ingekuwa sio kigogo wasinge tafutwa waamuzi wa kuhakikisha mbeleko inapatikana
kwa inavyoonekana simba sc wakikutana na SBS jasho humtoka na upinzani mkali huonekana uwanjani.Mbona mmekuwa mkilalamika hata Simba anapocheza na KenGold mnasema amepangwa refa wa Simba, je hata KenGold nayo ni kigogo?
Maana kila mechi anayocheza Simba malalamiko ni yale yale mwamuzi ana mrengo wa Simba.
Ndiyo nakuuliza kila timu hapa nchini ni kigogo wa soka?