rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Simba huwa anajitakiwa kutolewa, anakubali vipi kupangiwa ratiba ya kipuuzi ya mechi tatu ndani ya siku sita na hii si Mara ya kwanza.
Alipotolewa na Azam alikuwa ametoka Morocco kucheza na Wydad jumamosi, jumapili karudi jumatano kacheza na Namungo Lindi na jumamosi akacheza na Azam.
Alipotolewa na Mashujaa alikuwa katoka kucheza na Al Ahly Misri karudi kasafiri hadi Kigoma.
Viongozi wa Simba wapi tu wanashindwa kusimamia Mambo madogo Kama hayo.
Kocha nae mpuuzi hafanyi rotation halafu Kila siku anasafiri na lundo la wachezaji.