Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Wekundu wa Msimbazi nimekumiss sana Mama Lao.Haibadili nafasi ya dakatri...kukandwa ni kukandwa mr utopolo wa mwiko nyuma....
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wekundu wa Msimbazi nimekumiss sana Mama Lao.Haibadili nafasi ya dakatri...kukandwa ni kukandwa mr utopolo wa mwiko nyuma....
Mkuu GENTAMYCINE mbona umeongea kwa uchungu sana 😃Na hata Mechi yetu na Yanga SC tunakufa.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.View attachment 3352244
Hii sikua naiwaza, na hainistui hata.
Wacha weeee kwa raha zako 😄😄😄Tumemtuma dogo apeleke salamu 😅😅😅😅😅😅😅
😂Sisi tunasubiri tu "Mangungu tuachie timu yetu.".Niko fresh haswaa, CRDB hata sikua naiwaza mie. Yaan hanistui kabisaa.
😂😂😂😂😂
Hakuna kitu km hikoo, Simba tuko imaraaa.😂Sisi tunasubiri tu "Mangungu tuachie timu yetu.".
😀😀😀Hii sikua naiwaza, na hainistui hata.
Heloo nimekumis pia baab lao...Wekundu wa Msimbazi nimekumiss sana Mama Lao.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sawa msajiri striker bwana yule muntale anakiwasha mwishoni mwa msimu kuwapumbaza tuu. Timu inahitaji strikerTupo sanaaaa....
Top 5 In Africa
Haya kaka 🤣 🤣 🤣 🤣Sawa msajiri striker bwana yule muntale anakiwasha mwishoni mwa msimu kuwapumbaza tuu. Timu inahitaji striker
Una masihara sana we Pisi Kali 😁Heloo nimekumis pia baab lao...
Buhahaha
1) Al Ahly point 78Tupe list boss