FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

Fainali tutawagiza SBS watupangie kikosi cha pili, na watakaopangwa wasijitume
 
Acheni kujipa umuhimu...mechi ya mwisho kayoko kaiharibu mnajisifia??
Nendeni mkapeane na ndugu zenu msitupigie kelele
Jipange hiyo tarehe 15 tunacheza na tunawapasua
Haiwezekani muwe mnakimbia
Sasa huu mtego mmejaa vizuri, derby ipo na kipigo cha 5 mfululizo kitawahusu
 
Asanteni Simba reserve ur energy....
Jipange hiyo tarehe 15 tunacheza na tunawapasua
Haiwezekani muwe mnakimbia
Sasa huu mtego mmejaa vizuri, derby ipo na kipigo cha 5 mfululizo kitawahusu
Nani mumupasue?? Mtampasua dodoma jiji...
Kumbe nmnyie ni wadhaifu simamieni msimamo wenu..
Kumbe mlikua mnaiogopa simba sasa kisa haya matokeo ndo mnajipa moyo jichanganyeni pumbafuu
 
Asanteni Simba reserve ur energy....

Nani mumupasue?? Mtampasua dodoma jiji...
Kumbe nmnyie ni wadhaifu simamieni msimamo wenu..
Kumbe mlikua mnaiogopa simba sasa kisa haya matokeo ndo mnajipa moyo jichanganyeni pumbafuu
Wachezaji wa Yanga wamepania kuyapiga mambumbumbu goli 5.
Haiwezekani kila game mnakimbia
 
Madunduka pindueni meza hiyo, tunawataka Fainali. Refa walete, walete hao mapoyeze tuwashughulikie alipotwika muarabu, sisi tupachomoe
Tutakutana 15/6 usiogope..Na mkikimbia tunachukua pointi zetu 3 na kutawazwa mabingwa.
 
Back
Top Bottom