FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

Kipa wa Singida hamna kitu mechi 1 yalikuwa makosa yake mechi hii pia kapangq ukuta kakaq kulekule alipopanga ukuta na kumpa space Ahoua 😀
Unaonaje akitoka udake wewe😎
 
Bora wameshinda, tuskie tena kelele za kukimbia ligi sasa.
 
5imba pindua meza tuwakaange final
Kila la heri 5imba mbumbumbu
 
Nyie mnaochukulia mpira serious ndo huwa mna hali mbaya...yani nikose raha kwa sbb ya mpira kweli...mimi JF nipo kwa ajili ya kurefresh...matokeo huwa nayaacha humu humu...
By the way umepotea sana upo mtani?
Wewe ni mimi kabisa
 
Back
Top Bottom