FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

Kimsingi hata ya kusema wanawakimbia tarehe 15 ni mbwembwe tu ila mioyoni mwao wanajua jamaa watawapakata si chini ya 5 tena.

Hakuna timu hapa cha kuifunga Yanga.
Si mlete timu na ndo lengo ketu huku crdb hatutaki...njooni huku nbc kama kweli mnaubav
 
Wakuu,

Leo inapigwa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ni Simba SC dhidi ya Singida BS pale katika dimba la Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara.

Mechi hii itachezwa kuanzia saa 9:30 alasiri na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.

Je, ni Mnyama ama Singida BS nani kumfata Mwananchi katika hatua ya fainali?

View attachment 3351616
Mtoa mada mbona hutoi updates...

dakika ya ngapi
faulo
subs
 
Back
Top Bottom