makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
Tutaziweka wapi sura zetuu 😳
Unajitekenya na kucheka mwenyewe mama wanne. 😁😁😁😁😁😁Dkk ya ngapi tukapike cha jioni...
55Dkk ya ngapi tukapike cha jioni...
Duh! Kumbe kweli.Simba leo kujiangusha ili kumkwepa yanga
Mpk kieleweke
Hamna kipa humo hayo magoli 2 ni uzembe wakeKaruka amefumba macho amna kipa hapo
Mimi nina 5 mbona umenipunguzia jamani 😆 😆 😆Unajitekenya na kucheka mwenyewe mama wanne. 😁😁😁😁😁😁
Mpira wa kibongo una mengi nyuma ya pazia..huu ushindi ilibidi singida waupate juzi hapo ila wakafanyiwa ukatiliDuh! Kumbe kweli.
Kimsingi hata ya kusema wanawakimbia tarehe 15 ni mbwembwe tu ila mioyoni mwao wanajua jamaa watawapakata si chini ya 5 tena.Yaani nikakutane nae Fainali anichape bora nichapwe na Singida
Ama kweli mbumbumbu ni chiziSi mlisema hamchezi na Simba trh 15 sasa mnataka mcheze nayo hii ya crdb ili iweje...chezeni na ndugu zenu...na sisi hatutaki kucheza na nyie....
Hata ile ya kusema waje 15/6 ni mbwembwe tu ila mioyo yao imejaa hofu.Naanza kuamini sisi ndio tunakimbia deby. Hapa ukihoji viongozi watakuambia tumecheza fainali
Wee achaaa tu.. nipo na muhasibu hapa analia tu😂😂😂😂😂😂Tutaziweka wapi sura zetuu 😳