Hatubishani na Timu ambayo haipo top 5 barani Africa.... 😆 😆Mlikimbia tarehe 8, leo tena mmekata kona. Ila bora nusu shari, kuliko shari kamili. Ndiyo mjue Yanga kawazidi mpakaaaa.....
Oyaaa😂😂Chuma cha 3 keyeke
🤣🤣🤣🤣🤣Hii mechi Simba wameamua kuwaachia wamalizane wenyewe...
Nitakuja baadae ila na Sasa sio mbaya tukiwa tunakumbushana kidogo kidogoUtakuja niambia badae
YupoKwani Mpanzu hayupo?