FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

Burnout! Viporo 4, kisha kusafiri km 17,000 mara mbili kucheza finali CAF mechi 2, kisha viporo 2! ndani ya mwezi May!
 
Hii ndio Simba inayojengwa Sasa sio Yale maigizo ya kina Kefa hapa mtoto kaachiwa atembee mwenyewe!!kashindwa hata kusimama
 
Back
Top Bottom