Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,398
Wameisha gongwa viwili, watu ndio wanaenda kujifuta kwanza
Kwanini?Hii mechi ina maelekezo 🚮
Namna kikosi kilivyopangwa, wanavyocheza na magoli waliyoruhusu dhahiri mechi hii Simba tunakimbia Fainali.Kwanini?
Kikosi kina shida ganiNamna kikosi kilivyopangwa, wanavyocheza na magoli waliyoruhusu dhahiri mechi hii Simba tunakimbia Fainali.
Mmh kwa huu mpira hapana kwakweli sisi ndo tunafurahia tusiende fainali.Mi uto inafurahi kimoyo moyo maana walikua wanaomba wasikutane na Simba
YANGA yupo final anakusubiria, shinda hii game usikimbie, na hapa tarehe 15 tunachezaMi uto inafurahi kimoyo moyo maana walikua wanaomba wasikutane na Simba
Hee yamekua hayo....sio kwamba wachezaji wamechoka?Mmh kwa huu mpira hapana kwakweli sisi ndo tunafurahia tusiende fainali.
Njoo final usikimbieNgoja wacheze ndugu fainali wapeane ma upendo wajimwagilie moyoo