The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Mbona sielewi kikosi gani Kocha kapanga?
Nani awaogope nyie vyura?? Ratiba kwa Simba sio rafikiYANGA yupo final anakusubiria, shinda hii game usikimbie, na hapa tarehe 15 tunacheza
Mechi siriazi unaenda bila ya mbavu zako mbili ,kibisawala nje halafu unaanza na wachezaji wasiokua na match fitnessKikosi kina shida gani
😂😂😂Namna kikosi kilivyopangwa, wanavyocheza na magoli waliyoruhusu dhahiri mechi hii Simba tunakimbia Fainali.
Fainali si tupo au unataka fainali ya kombe la Benki?Njoo final usikimbie
Na wao wamechokaaa.... eeh jamani kucheza mfululizo sio kitu rahisiMechi siriazi unaenda bila ya mbavu zako mbili ,kibisawala nje halafu unaanza na wachezaji wasiokua na match fitness
😀😀Daaah wamepigwa chuma cha pili leo tatu malogo hayupo sidhani kama watashinda.
Mimi pia nimeliona hiliSimba leo kujiangusha ili kumkwepa yanga
SawaNa wao wamechokaaa.... eeh jamani kucheza mfululizo sio kitu rahisi
😀😀😀Mbili bila hukuAisee ngapi ngapi?
Naunga mkono hoja kakaSimba leo kujiangusha ili kumkwepa yanga
Mi hata siwalaumu wamechokaa....😀😀😀Mbili bila huku
Tulia kwanza,Nani awaogope nyie vyura?? Ratiba kwa Simba sio rafiki
😀😀😀😀😀Simba jilegezeni zaidi ili waende wakapeane wenyewe
😀😀😀Haya waleteee wale wa GSM waleteee wamalizane wenyewee..