Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
haya ni maelekezo , mikia itolewe huku shirikisho ili yanga akubali kucheza game ya tarehe 15
Hii mechi siyo seriousMechi siriazi unaenda bila ya mbavu zako mbili ,kibisawala nje halafu unaanza na wachezaji wasiokua na match fitness
Huo ndio uwezo wa 5imba kama marefa wasipofanya uhuni unaoitwa makosa ya kibinadamuHili goli naona kabisa simba tunawakwepa Yanga kwa makusudi 🚮
Sio mnatukimbia ndugu yangu 😀😀Mi hata siwalaumu wamechokaa....
Haukubali kuwa simba nayo inaweza kufugwa tu mpaka maelekezohaya ni maelekezo , mikia itolewe huku shirikisho ili yanga akubali kucheza game ya tarehe 15
Tunaweza kua na timu yenye mapungufu ila sio kucheza hiviHuo ndio uwezo wa 5imba kama marefa wasipofanya uhuni unaoitwa makosa ya kibinadamu
Kuchat ninimbona hamchati[emoji16][emoji16][emoji16]
Marefa wa bahasha ndio wameiharibu kolozadTunaweza kua na timu yenye mapungufu ila sio kucheza hivi
Mechi ya kwenda fainali unasemaje sio siriazi? Wakati hatuna uhakika wa ligi hili ndo kombe walau tukipita faina na kumfunga yanga tunabeba moja kw moja kule Ligi bado kuna shida.Hii mechi siyo serious
Tuwakimbie? Ss tunawataka fainali ya ligi kuuSio mnatukimbia ndugu yangu 😀😀
TumewaachiaKwani SBS wanacheza? Si walisema hawachezi hadi reforms zifanyike?
Washaharibikiwa akiliHaukubali kuwa simba nayo inaweza kufugwa tu mpaka maelekezo
Sawa😀😀Tuwakimbie? Ss tunawataka fainali ya ligi kuu
Kama nyie mlivyoharibikiwa kwa kuishia makundi kisa mechi za kupeana na gsm familiy..mpk kocha akawakimbia hamna mechi za maana..Marefa wa bahasha ndio wameiharibu kolozad