FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

Kwahyo camara katoka? Watu hatuangalii mechi mjueee...tunataka updates tuone tunavyotolewa kuwapisha watoto wa kukaya....
 
Burnout! Viporo 4, kisha kusafiri km 17,000 mara mbili kucheza finali CAF mechi 2, kisha viporo 2! ndani ya mwezi May!
Yanga alicheza na Azam final Tanga akiwa na uchovu kama wako ila Musonda akawaweka na kombe tukabeba
Goli la pili Katoro kachoma live.
 
Mbumbu u....
Ili iwe hivyo ndugu zuzu
Kwa ajili ya nini? Kwamba mnataka mwaka huu mtoke tupu ili wacheze wao kwa wao? Hii inaingia akilini? JF watu wanakuheshimu sana sister, jaribu basi kuficha uchi wa akili yako mkuu ili tuendelee kukuheshimu. 😁😁😁😁😁
 
Tukiwapa burudani mnasema tunabebwa haya kule chuma hicho😄😄😄
 
Kwa ajili ya nini? Kwamba mnataka mwaka huu mtoke tupu ili wacheze wao kwa wao? Hii inaingia akilini? JF watu wanakuheshimu sana sister, jaribu basi kuficha uchi wa akili yako mkuu ili tuendelee kukuheshimu. 😁😁😁😁😁
Bwana wee usitake nifanye unachotaka au unachopenda....mbona simple tuu kila mtu apambane na timu yake bro anguu...heshima ipo tuu haijalishi naandika nini 😊 😊 😊
 
Hawa ndio maana walikimbia Ile march 8 waliona mbali sana
 
Back
Top Bottom