Huoni kikosi wewe??Ulillala na fadlu? Amekuonyesha first 11 ya leo..embu itaje tuone huo uduni wa hio first eleven
Mshaliwa kimojaKikosi cha Simba
1. Camara
2. Kameta
3. Nouma
4. Che Malone
5. Hamza
6. Kagoma
7. Kibu
8. Ngoma
9. Mukwala
10. Ahoua
11. Mutale
Wewe unajua mpira. Simba focus yao naona ipo ligi kuu. Na hii mechi sijui kwanini wamempa arajiga na wasinge subiri fainaliHili goli naona kabisa simba tunawakwepa Yanga kwa makusudi 🚮
Tulitamani sana Simba ashinde hii game.
Tuwakande mara mbili.
Ndio maana mmeanza na Kikosi cha kupigwa.
Camara kajiumiza banaNini kimetokea aisee 😀
Tunakiona.Kikosi kipana..
I said it earlier wameanza kujiamgushaSimba leo kujiangusha ili kumkwepa yanga
Sisi tunasubiria fainali ya UEFA usikuHabari za humu ndani, kuna habari gani? Maana weekend ni tamu na huku kuna nini tena?
Hataki lawamaCamara kajiumiza bana
Kuna mwanetu anataka kutukimbiaHabari za humu ndani, kuna habari gani? Maana weekend ni tamu na huku kuna nini tena?
Ligi sio ShirikishoKwani SBS wanacheza? Si walisema hawachezi hadi reforms zifanyike?
Kapewa ods ngapi hukoWazee wa kubet live mpeni simba.