FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

kwa inavyoonekana simba sc wakikutana na SBS jasho humtoka na upinzani mkali huonekana uwanjani.

licha ya hivyo mpaka kufika hatua ya nusu fainali inaonesha ni kigogo wa soka,licha wa hivyo nafasi aliyonayo ktk league ni wazi kuwa ni kigogo kwani ni miongoni mwa top four.
Simba anapokutana na Prison huwa anateseka sana kupata matokeo, Prison nayo ni kigogo wa soka?

Yanga mara zote walipokutana na Ihefu (by then) walikuwa wanateseka sana, Ihefu naye achukuliwe kigogo wa soka kisa huwa analeta ushindani kwa timu moja huku wengine wakijipigia?

Kuwa top four haiwezi kuifanya timu iwe kigogo maana sio kila mwaka nafasi ya nne inashikwa na timu moja ukiacha zile top three ambazo ni Simba, Yanga na Azam mara nyingi.

Kigogo wa soka angalau timu iwe imechukua kikombe chochote cha ligi ama mashindano mengine.
 
Tulioko Singida Kwa mkopo tujuane
images - 2025-05-31T110524.062.jpeg
 
Timu ya Jalalani imesha poteza mvuto, timu ina bebwa mpaka wachezaji wenyewe wa Jalalani fc wanacheka.
 
"kama ni mambo yenyewe ni ya rotation bora simba wapite ili tuwe na fainali nzuri"-amri kiemba(jana kwenye sports extra )
 
Yanga mara zote walipokutana na Ihefu (by then) walikuwa wanateseka sana, Ihefu naye achukuliwe kigogo wa soka kisa huwa analeta ushindani kwa timu moja huku wengine wakijipigia?
Yanga huwa hatupendi usumbufu na aibu ndogondogo ndo maana tulivyoona hivyo tukainunua ihefu na kuifanya yanga b
 
Wakuu,

Leo inapigwa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ni Simba SC dhidi ya Singida BS pale katika dimba la Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara.

Mechi hii itachezwa kuanzia saa 9:30 alasiri na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.

Je, ni Mnyama ama Singida BS nani kumfata Mwananchi katika hatua ya fainali?

View attachment 3351616
Hawa jamaa wameanza na kikosi duni.
Wameikataa Fainali wazi wazi.
🤣🤣🤣🤣
 
Utopolo wanaombea Simba isishinde ili waepuke kukabiliana na utatu wa moto wa Mpanzu, Mutale au Kibu na Mukwala
Tulitamani sana Simba ashinde hii game.
Tuwakande mara mbili.
Ndio maana mmeanza na Kikosi cha kupigwa.
 
Back
Top Bottom