watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
😂😂 Kipa ana kisasi kakunja mkono, hii ndio dawa ya jeuri waliyompa kwa kumpiga benchi
Hizi mbio za kuikimbia yangambona hamchati[emoji16][emoji16][emoji16]
Mpanzu kacheza faulo mbaya sana.Hawa wanaweza kuweka mpira kwapani!
Chifu alipewa na kuku huko Babati
51 mpira umesimamaDkk ya ngapi tukapike cha jioni...
HakikaZinafika 5
Karuka amefumba macho amna kipa hapoHapa Simba hatuna kipa
Golini liko shati tu kmmk
Ni kama kaagizwa amtoe nje maana jamaa kawapiga kotapin sio poaMpanzu kacheza faulo mbaya sana.
Arajiga hacheki na wowote