FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

Mbona kama mnavimba nyie Utopwax sio kwamba mnashukuru kutokukutana na sisi? Hahahaaha
Timu bovu hilo beki anapiga vyenga kama kiungo na kutoa pass kwa Jonathani marefa wanawasaidia sana leo sijui kama mtapata hata target moja golini..
 
We sister ni balaa, how comes mpaka chuma tatu zinaingia bado unareply huu uzi??

Heshima kwako aisee , mwenzio SAYVILLE yuko bize pale kitambaa anabishana kua zinarudi, muhasibu OKW BOBAN SUNZU yupo banda umiza hana hali, kanyong'onyea balaa.
Mi sijui kwakweli leo sijaumia...watajua wenyewe...
Sasa nikiondoka na mimi mnataka mbaki peke yenu? Au tuwaache wenyewe aweeee....vishuu wee
 
1748148032359.jpg
 
Npo mambo yanakua mengi tu, Sina Raha nilitamani kuona derby mbili safi mwisho wa msimu, naona watani mmetupa taulo
Acha wachezaji wapumzike bana sio maroboti hao...aisee...
Kwani hii ya crdb inachezwa lini fainali
 
Back
Top Bottom