FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

Mi sijui kwakweli leo sijaumia...watajua wenyewe...
Sasa nikiondoka na mimi mnataka mbaki peke yenu? Au tuwaache wenyewe aweeee....vishuu wee
Bora ubaki aisee.

Mpiga fouls wenu keshatupia ka kufutia chozi
 
Kipa wa Singida hamna kitu mechi 1 yalikuwa makosa yake mechi hii pia kapangq ukuta kakaq kulekule alipopanga ukuta na kumpa space Ahoua 😀
 
Mechi imeanza kubadilika baada simba kupata goli
 
Back
Top Bottom