FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

Mashabiki wa Simba wakichekewa watakuja kuaibisha nchi hivi hivi
Sema hapa arajiga kawabeba haikuwa offside
 
Timu haipo kwenye ubora leo.

SimbaSC NguvuMoja
#UbayaUbwela
 
GOOOOOOOOOOL


Simba SC 1 Singida BS 3

Jean Charles Ahoua anaiandikia Simba goli la kwanza dakika ya 68
 
Simba ingizeni hi sabu nawaambia
 

Attachments

  • IMG_3114.jpeg
    IMG_3114.jpeg
    149.1 KB · Views: 12
Back
Top Bottom