FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

HUu mtego sasa jichanganye ulete timu nikuzabue
Wewe timu gani kwani, Mimi nawaambia yanga walete timu tarehe 15 ili watufunge wachukue ubingwa, maana simba tumekuwa wabovu ndio maana tumefungwa na singida
 
tushazoea kimataifa, huchu mchangani wanatukamia,,, tumevuna maBillion kule CAF
 
Mods rekebisha chap weka Ft. Simba 1 Singida BS 3 ondoa hiyo Live sasa mnatuchanganya
 
Wewe timu gani kwani, Mimi nawaambia yanga walete timu tarehe 15 ili watufunge wachukue ubingwa, maana simba tumekuwa wabovu ndio maana tumefungwa na singida
Tarehe 15 Yanga ipo na itawafunga vizuri tu
Hilo mnalotaka ati Yanga agome mpate ubingwa sahau
Yanga anakuja kuwafungaa 5imba na shoga yenu Karia na kufyeka kichaka chenu cha tarehe 15
 
Back
Top Bottom