Tumeiona Simba halisi bila Kayombo wala Tatu Malogo
Kama alichofanya mwanzo akasingizia mabaunsa , Anajua Yanga hachezi tarehe 15Simba kakimbia fainali na yanga.
Kawanyamazisha lakini au.Kwaniaba ya mjomba wake🤣🤣😂
Taratibu mnachomoa nyuma mwiko
Sawa 😀😃😃😃😃😃😃Sisi hiyo tarehe 15 mbona tulishaikubali toka ilipotangazwa, ninyi mkicheza ndio mtakuwa mmekubali hicho unachokisema baada ya sitaki nataka nyingi, nasisitiza sisi tunataka mlete timu hiyo tarehe 15 ili mtufunge mchukue ubingwa wenu
😀😃😃😃😃Na leo VAR yetu mtakuwepo makini?
Na kama daraja tushushweYanga kucheza iyo mechi msahau,,atuwezi kuwa tunalea ujinga ujinga na tunawachekea Hawa wakina mguto na wenzake,,kama wanawapa ubingwa wa mezani acha wawape lakini tunakuwa tumelinda heshima ya klabu!
Hakuna kitu alichoniuzi leo kama kutowapa advantage Singida wakati tayari mtu alikuwa anaenda kufunga ila akapuliza filimbi ya faulo wakati tayari mtu kaishaachwa. Pengine ameona anapokuwepo kwenye haki Simba nyau anaumbuka kwa magoli mengi sana tofauti na wanapokuwa wakina Tatu MalongoArajiga angeweka uungwana pembeni Simba wangebondwa TANO
Sisi hiyo tarehe 15 mbona tulishaikubali toka ilipotangazwa, ninyi mkicheza ndio mtakuwa mmekubali hicho unachokisema baada ya sitaki nataka nyingi, nasisitiza sisi tunataka mlete timu hiyo tarehe 15 ili mtufunge mchukue ubingwa wenu
Hapo sawa timu na kuwafunga tutawafunga 5Sisi hiyo tarehe 15 mbona tulishaikubali toka ilipotangazwa, ninyi mkicheza ndio mtakuwa mmekubali hicho unachokisema baada ya sitaki nataka nyingi, nasisitiza sisi tunataka mlete timu hiyo tarehe 15 ili mtufunge mchukue ubingwa wenu
Salam tumezipokeaTumemtuma dogo apeleke salamu 😅😅😅😅😅😅😅
Hapana ,Simba hii NDIO halisia bila marefa wao akina Tatu Malogo ,Kefa Kayombo na wenzake , hii NDIO Simba halisia, haijaikimbia Yanga kwakua Kombe wanalitaka!Simba leo kujiangusha ili kumkwepa yanga