FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

Duuuh saivi ndo naingia Jf

Mods, mi nilichangia tu hii comment nashangaa uzi ni wangu tayar

Ila sio mbaya mmekandwaaa
 
🤣🤣😂
Tunasubiri June 15 tumalizie kuchinja waliobaki
Timu ipo ya tff na bodi ya ligi
1.Karia
2.kidau
3.mguto
4.Boimanda
5.kasongo
6....!!,
Na staffs wao wwngine. Yanga itacheza emdapo majibubjuu ya kilichochunguzwa kinapatikana.
 
Wewe unajua mpira. Simba focus yao naona ipo ligi kuu. Na hii mechi sijui kwanini wamempa arajiga na wasinge subiri fainali
Kwani huko kwenye ligi ni refa kawabeba juzi Singida walikuwa wanashinda gemu?
 
Aaa wapi, mwiko ni hukohuko utopoloni, Unyamani ni mkia bhana💪💪💪

Bakini na mwiko wenu, shabash😎
Kwani Mwarabu wa RS Berkane hajakutia mwiko huko mikiani
 
Timu ipo ya tff na bodi ya ligi
1.Karia
2.kidau
3.mguto
4.Boimanda
5.kasongo
6....!!,
Na staffs wao wwngine. Yanga itacheza emdapo majibubjuu ya kilichochunguzwa kinapatikana.
Haya bhana, ngoja tuone mtani😎💪
 
Bwana wee usitake nifanye unachotaka au unachopenda....mbona simple tuu kila mtu apambane na timu yake bro anguu...heshima ipo tuu haijalishi naandika nini 😊 😊 😊
Mbona kama umepanic 😀 Jikaze usilie, ndiyo mpira, Next time fanyeni usajili wa maana
 
Kwani Mwarabu wa RS Berkane hajakutia mwiko huko mikiani
Acha ufala basi wewe jamaa, mbona unajitoa ujinga na kujivika werevu. Hujui unajaza sever za JF bure.

Hebu geuka hapo ulipo Utopolo wewe uuone huo nyuma mwiko. 😎😎

Nimekwambia mimi nyuma ni mkia.
IMG_20250508_222005.JPG
 
Back
Top Bottom