FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

Na tarehe 15 mkimbie Getto tena
20250531_181632.jpg
 
Poleni sana wanasimba kwa kifungwa bao tatu na Singida BS.

Mkicheza mpira kama mlioucheza leo hii dhidi ya singingida BS kwenye mechi na Yanga mnakuja kuumbuka zaidi
 
Bodi ya ligi nadhani mmeona mbeleko yenu dhidi ya simba!!. Simba hii bila kubebwa alikuwa akae na nafasi ya 5 au 6!!. Simba ana mechi zaidi ya 8 amabazo amepata ushindi kwa dhuluma!!. Sasa tunasemaje mechi za simba atachezesha Aradjga tu. 😂😂😂
 
Weee hujipendi
 
Back
Top Bottom